chrisman49
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 352
- 77
Nambie kama story hivi ulivofanya mpaka ukakwama
saiv imekubl bt tatz sauti
Nambie kama story hivi ulivofanya mpaka ukakwama
vipi nokia C3 00?
Itakubali
dah inapiga kaz nikaongeza na aljazeera dah ful kula khabar vip hakuna ulopata yenye mpira katika pitapita zako
Nlienda mobiclip.com nkadownload ka software chao em jarbmkuu umeiongezaje hyo aljazeera?
umetisha bro imekubali tena very clear japo nimepewa kwa 2wiks sa cjui zikiisha watanikatishia huduma?.
Al in al umetisha mzazi
Nokia zote zina java hii kitu inatakiwa ikubali
Samsung Galax
Nlienda mobiclip.com nkadownload ka software chao em jarb
hii application inaitwa TOGO tv ina chanell nyingi sana za kila aina hadi mambo ya kibaba na mama yapo.
Simu zinazokubali ni java na symbian na bb zajava kama hujui post chini ntakwambia kama simu yako inakubali
Chanel zinauzwa ila kupitia application hii utazipata bure
![]()
Maelekezo
-download togo tv
-install
-lugha english
-nchi russia(au unayoipenda)
-mtandao akos(au unaoupenda)
- ukitaka kuplay watataka ununue click ok then chagua tena hio tv utaona inaplay
-enjoyyyy
Download hapa
http://shaduduz.xtgem.com/files/togo.jar
nokia n 70 inadownload kisha inashindwa kufungua je inakuaje
Natumia sony ericson W595,nimeweza kudownload lakin nikitaka kuplay inanipa option ya kusubscribe kwa sms, nikakubal lakini bado haikubali,..msaada zaidi aisee!
me pia ivo ivo,nokia e65!!ngj mkwawa arud
nokia n 70 inadownload kisha inashindwa kufungua je inakuaje