hot(yamotoo): mobile tv ya simu za java (za bei rahisi)

hot(yamotoo): mobile tv ya simu za java (za bei rahisi)

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Posts
32,278
Reaction score
44,414
hii application inaitwa TOGO tv ina chanell nyingi sana za kila aina hadi mambo ya kibaba na mama yapo.

Simu zinazokubali ni java na symbian na bb zajava kama hujui post chini ntakwambia kama simu yako inakubali

Chanel zinauzwa ila kupitia application hii utazipata bure
togo.jpg


Maelekezo
-download togo tv
-install
-lugha english
-nchi russia(au unayoipenda)
-mtandao akos(au unaoupenda)
- ukitaka kuplay watataka ununue click ok then chagua tena hio tv utaona inaplay
-enjoyyyy

Download hapa

http://shaduduz.xtgem.com/files/togo.jar
 
mbn me inagoma download nokia 5310 xpres music!

Unaposema inagoma kudownload ina maana ukidownload inafail na haijaingia kwenye simu.

Hilo litakua tatizo la netowrk au browser we unadownload app zinakubali?
 
hii application inaitwa TOGO tv ina chanell nyingi sana za kila aina hadi mambo ya kibaba na mama yapo.

Simu zinazokubali ni java na symbian na bb zajava kama hujui post chini ntakwambia kama simu yako inakubali

Chanel zinauzwa ila kupitia application hii utazipata bure
togo.jpg


Maelekezo
-download togo tv
-install
-lugha english
-nchi russia(au unayoipenda)
-mtandao akos(au unaoupenda)
- ukitaka kuplay watataka ununue click ok then chagua tena hio tv utaona inaplay
-enjoyyyy

Download hapa

http://shaduduz.xtgem.com/files/togo.jar
Nokia C3-01 touch...hiyo ndo model yangu hebu nipe mambo mkuu
 
tayari nimeinsall hiyo software na orodha ya channel nimeiona ikiwemo discovery russia tatizo tv inaroad 20 minutes bila kuonyesha picha! Au wanataka nilipie kabisa?
 
Kitu kimekubali, nipo naangalia tv show ya vichekesho kutoka TNT, asante sana mkuu Chifu!
 
tayari nimeinsall hiyo software na orodha ya channel nimeiona ikiwemo discovery russia tatizo tv inaroad 20 minutes bila kuonyesha picha! Au wanataka nilipie kabisa?

yn ivo ivo ht mm!nokia 5310
 
Kitu mwake mkuu nipo naangalia mpira
 
Back
Top Bottom