hot(yamotoo): mobile tv ya simu za java (za bei rahisi)

mimi nina-dawnload inaniletea mambo ya buy wakati mmesema bure na wananiambia kabisa Tsh1200,au ndio yaleyale bure gharama.
 
-Mpaka kukwambia shilingi ina maana ushakiuka masharti so ungekatwa hela usinilaumu

-then ukiambiwa ununue unaclick ok then itatuma sms ya kununua (umechagua nchi sio tz so huwez katwa hela njia zao na zetu za kununua ni tofauti) then unaiclick tena hio chanel itaplay
 
hii application inaitwa TOGO tv ina chanell nyingi sana za kila aina hadi mambo ya kibaba na mama yapo.

Simu zinazokubali ni java na symbian na bb zajava kama hujui post chini ntakwambia kama simu yako inakubali

Chanel zinauzwa ila kupitia application hii utazipata bure
togo.jpg

Maelekezo
-download togo tv
-install
-lugha english
-nchi russia(au unayoipenda)
-mtandao akos(au unaoupenda)
- ukitaka kuplay watataka ununue shukrani mkubwa ki2 kimekubal kwny samsung sgh-j700 . Ila inastuck stuck sana hamna njia ya kuzuia huku kuganda ganda?
 
shukrani mkubwa ki2 kimekubal kwny samsung sgh-j700 . Ila inastuck stuck sana hamna njia ya kuzuia huku kuganda ganda?

Kuganda ganda ina maana network haina speed sana. hii aplication haihitaji network ya kasi sana kama una 3g 100% itaplay na kama una edge itabidi utafute edge ya speed kwa eneo lako

Mfano mimi eneo langu edge ya voda inafika hadi mwisho yaani 35KBps so inaplay vizuri
 
hapo nimeanza kukuelewa. Halafu nashindwa kuelewa ktk hii simu yangu.mimi na2mia voda sasa mwanzo wakati wakutumia internet kalikuwa kanatokea kale ka alama ka 'E' lakini tangu wiki iliyopita kanatokea kaalama ka G badala ya E kama zamani hafu naona ndio itakuwa chanzo cha hata kasi ya net kupungua. Sasa sijui tatizo ni nini? .Ila kuna siku nilikuwa naingiza ingiza macode ya samsung niliyokayapata kwny website flani nahsi pengine ndio chanzo. Nisaidie kama kuna solution ya kukarudisha kale ka E
 
Ikikaa G ina maana ni gprs ambayo maximum speed ni 6KBps

Ikikaa E ina maana ni edge inaenda hadi 35KBps so edge inastream kwa simu.

Kama zamani ilikuepo sasa hivi haipo ina maana tatizo la ufundi itarudi. Unless umehama eneo
 
hii application inaitwa TOGO tv ina chanell nyingi sana za kila aina hadi mambo ya kibaba na mama yapo.

Simu zinazokubali ni java na symbian na bb zajava kama hujui post chini ntakwambia kama simu yako inakubali

Chanel zinauzwa ila kupitia application hii utazipata bure
togo.jpg

Maelekezo
-download togo tv
-install
-lugha english
-nchi russia(au unayoipenda)
-mtandao akos(au unaoupenda)
- ukitaka kuplay watataka ununue click ok then chagua tena hio tv utaona inaplay
-enjoyyyy

Download hapa

http://shaduduz.xtgem.com/files/togo.jar

swahiba fanya utaratibu uweke na za pc ili tu enjoy wote
 
Back
Top Bottom