Hot: How Do Spies Gather Intelligence?

pamoja na hilo, training is vital. wale wanaolenga kupata info kutoka kwa watu huwa wamefuzwa na kubobea katika "body language" mtaalam wa eneo hili huweza kutambua ukweli kwa kutazama uso wa mlengwa kwa sekunde moja tu, hii imeandikwa katika kitabu cha "definitive book of body language" kitabu hiki kinauzwa online. hivyo best spy hupata taarifa in different but combines ways. kwasasa, udukuzi wa mifumo ya mawasiliano hutoa njia za awali za ukusanyaji taarifa za kijasusi


Uko sawa Mkuu, yes training is vital lakini in some cases (some spies) it's not all that necessary, unakuta mtu tayari ndio kaumbwa hivyo (Natural sensitive instinct), anakusoma like an open book hata kwa kuliona jina lako tu!

*some of those books unazosema zimeandikwa na aina hiyo ya Viumbe ninayoisema hapa...
 
Fanyeni kazi aisee ishu ya ujasusi inahitaji hela sasa sisi hata mishahara ya kitengo na walinzi wa rais ni hela za misaada kutoka kwa wahisani
Ndio ambao baba jesca kasema atawafungia migodi

Sent from my Exclusive Y30-U00 using JamiiForums mobile app
 
Ahsante mkuu, na ndio point yangu kubwa kwamba kuna spies ambao hawakuwa trained bali wamezaliwa hivyo, meaning that their Spirit where designed from Creation to be 'Seekers'..na ndio hao they use their 'spirit' (meditation) to Seek for their Mission, and with such weapon in hand no Mission is Impossible kwao.
Na ww ni miongoni mwa Spies nn naona unatiririka data si mchezo
 
Uko sawa Mkuu, yes training is vital lakini in some cases (some spies) it's not all that necessary, unakuta mtu tayari ndio kaumbwa hivyo (Natural sensitive instinct), anakusoma like an open book hata kwa kuliona jina lako tu!

*some of those books unazosema zimeandikwa na aina hiyo ya Viumbe ninayoisema hapa...
ok, ngoja nibadili jina
 
Mara nyingi namna ujasusi unavyotekelezwa katika dunia halisi ni mara chache sana hufanana na zile television movies za hollywoods kama James Bond, Tom Cruise na wengineo.Ila ujasusi bado inabaki kuwa moja kati ya njia muhimu na hatari sana zitumiwazo na serikali zote duniani katika ukusanyaji wa taarifa kutoka kwa mahasimu wake.

Kwa mara zote mafanikio ama kushindwa kwa majasusi kumewezesha kubadilika kwa sera za nchi za nje za serikali kote duniani, kumebadili meulekeo na mapigano ya vita na kuacha kovu kubwa sana, mara nyingi kovu hilo hufichwa, katika historia ya dunia.

Viongozi wa dunia huwa ukabiliwa na hali zinazowahitaji kufanya maamuzi magumu na muhimu kila kukicha na taarifa sahihi ndio kitu pekee muhimu katika kuyafanya maamuzi hayo kuwa sahihi. taarifa kama adui yako ana jeshi lenye ukubwa kiasi gani (mfano.

Al shabaab na Boko haram)? Wamefikia kiwango gani cha kutengeneza silaha hatari za siri? Je wana mpango wa kuingia katika makubaliano ya kibiashara na nchi nyingine? Je kuna baadi ya makamanda wa kijeshi wanapanga mapinduzi? Mara nyingi njia za ukusanyaji wa taarifa za kijasusi hutofautiana kulingana na utofauti wa taarifa zenyewe zinazohitajika.

Sasa swali lipo mezani, je ni njia gani hawa intelligence officers (kama vile former KGB, CIA na hata MOSSAD) walitumia kupata taarifa katika moja kati ya operations zao walizozifanya hapo awali?Wale wanaojiitaga wazee wa kusoma kutoka google akina Infantry Soldier, BM-40 OPERATOR, Weltmeisterschaftung, pamoja na wengine kibao nawataka hapa leo hii.
Spies gather intelligence through open and secret means.
Kuna njia za wazi kama media pia kuna njia za siri kupitia hackers, informers (wapo wa aina nyingi sana), sleepers, honey traps (kukutega kwa kutumia mademu warembo sana)
 
But, huambatana na rituals au mefitation procedures ambazo zikifuatwa hakuna kufeli
Mkuu ndo kusema kwenye Ujasusi kumbe kunaweza ingizwa nguvu za giza!
Just connecting the dots.

"Do not compete with any one, do the best to become the best"
 
Espionage kama taaluma kuna mambo chungu zima.
--- kukamata majaususi wa adui wanao operate ndani ya nchi na Ku intercept mipango yao.
--- kuna kufuatilia mienendo ya viongozi wa serikali wa ngazi za juu pamoja na watumishi wa idara husika ya ujasusi kama wanaenenda na viapo vyao ( oath of office )
--- kulinda miundo mbinu muhimu kwa nchi kama petroleum pamoja na food reserves dhidi ya mashambulizi ya adui.
--- majasusi wa kijeshi (military intelligence) wao wanafanya tathmini ya hatari ya uvamizi wa kijeshi kutoka nchi yoyote ya jirani pamoja na ku verify military readiness ya jeshi kwenye kujibu mashambulizi ya ghafla ya adui.
--- intelligence inawezesha kupatikana kwa taarifa zitazowezesha policy makers kuunda sera za mahusiano ya nchi za nje pamoja na namna nzima ya kuendesha serikali.

Ujasusi ni somo moja refu sana wadogo zangu.
samahani 'dada' naomba kuuliza weye ni desk ama field agent,umespeshalaiz kwenye recon,counter intelligence,cyber espionage,analyst,social engeneering ama uko kwenye menejment.
 
Kwa hiyo, tamaduni ya braza K, wa futuhi inatumika kwenye ujasusi!?

Kwa hiyo, Mossad, KGB, CIA and the like are the worst witches!?

Kama mnasema kuwa pana mbinu mbadala!!
 
Back
Top Bottom