Hot: How Do Spies Gather Intelligence?

Hot: How Do Spies Gather Intelligence?

hawa watu huwa wanabobezwa kwenye taaluma ya mauzo(sellings), wana sells kwa kila idara a ndo maana hata watu wanakuwa interested na kitengo, ila kiuhalisia kuna vitu extra ambao hata wao hawavijui ambavyo baadae vinawaacha kuwa matahira.. ili habar ziwe classified.. ila pia ambapo mbinu hizo hizo zitatumiwa na watu binafsi kwa minajili ya kukuza uchumi au biashara binafsi mafanikio makubwa yatapatikana... ila ikitumika kifisadi au kwa kulaghai pia malengo yatatimia...

kukusanya taarifa na kuzifanyia kazi ndo jambo muhimu bila kudhuriwa na taarifa hizo.
Safi sana
 
What I meant ni ngono kutumika kama mtego/ulimbo/chambo. .....mbinu hii inafanya kazi since the creation of this World mpaka sasa inaendelea kufanya kazi....and with the way things are going it looks like itaendelea kufanya kazi mpaka mwisho wa dunia.... (sex+money+power=life reality kwa sasa)
Ni ngumu kwa spy mzoefu kumchunguza kwa kutumia ngono..! Labda ngono inatumika na spy kupata taarifa za adui asiye spy..!
 
kabla ya kuingia kwenye makubaliano ya makenikia wazungu walitufanyia ujasusi wa kutosha
 
Back
Top Bottom