Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,885
Asilimia kubwa ya wanaume wamefundishwamchezo huo na hio asilimia kubwa ya wanawake mliopitia hio 'dhahama'Huu ni mtandao wa jamii na kazi yake ni kuelimisha jamii.
Kuna hii tabia imeibuka ya ufanywaji mapenzi kinyume cha maumbile. Dunia imeharibika hii sio mchezo. Asilimia kubwa ya wanawake tulishapitia dhahama ya kuombwa huo mchezo na wengine wameshafanyishwa kabisa.
Najiuliza jamani haya mambo nyie wanaume mmejifunzia wapi? Yana raha gani mkiulizwa? Na msipofanya mtakuwaje?
Acheni kuwachezea watoto wa watu hao ndo mama na binti zenu wa kizazi kijacho
tuwaulize nyieHivi wanaofanya hivyo ni wanaume kweli! au mashetani wenye jinsia ya kiume ?
yaaani mnaombaga kitu hata hamkijui sio?Mi nasikiaga nyie wenyewe ndo mnataka. Kwahiyo mwanaume anakuomba akiamini kuwa mnataka, so asipokuomba utamuona mshamba, hajui mapenzi, hajui kumridhisha mwanamke, wenyewe mnajua mnavotuchambanga
Nimeona kwenye TV Nashukuru sjawahiWewe hayajawahi kukuta hayo ya mtoa mada?
wapumbavu sana mkuu.kuna lijamaa lilikuwa linaniombaga tigo kweli .siku moja limelewa zii nikaliambia leo nakufumua rinda live ukome kumendea marinda yanguUsiumize kichwa sana my Dear !!!....Amna kipya chini ya jua .
Haya yanayoendelea sasa yalifanywa wakati Wa Sodoma na Gomora ambapo wanaume walioana wao kwa wao hata Mungu akaamua kuwaangamiza !!.
Kwaufupi ,, Watu kutokua na Hofu na Mungu hii kitu imefanya Jambo hili lijirudie tena , nabila Shaka Moto utahusika tu.
Wewe mla Tigo ni Pumbavu.
Wewe mtoa Tigo Ni Pumbavu Mara mbili !!.
acha uongo wewe .Asilimia kubwa ya wanaume wamefundishwamchezo huo na hio asilimia kubwa ya wanawake mliopitia hio 'dhahama'
Hebu kanisome vizuri uelewe hoja yangu bibie, sijasema hivo mieyaaani mnaombaga kitu hata hamkijui sio?
Wanaume wanaofanya matendo ya namna hiyo mimi sipo pamoja naotuwaulize nyie
Uongo gani sasa? Nyinyi si ndio mna misemo yenu ya ajabu....eti nipeleke chooni, nikikwambia choo kile pale nenda unaenda kusimulia wenzio huko nilivyo mshamba!acha uongo wewe .