Hot chair: "fikra za fukara"

Hot chair: "fikra za fukara"

bartaizo

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2013
Posts
236
Reaction score
91
Nichagueni Mimi!!!
Unadhani nitakutendeeni nini mkinichagua!?

1:elimu itakuwa bure kabisa; nitaongeza mishara kwa walimu ili kukuza utendaji kazi(fukara nilifikiri nakafikirika na walonimezesha nikalila kumbe ni mazingaombwe)

2:Nitaleta ndege kumwagilia mashamba yenu yote ili kuua wadudu(maskini fukara Mimi sikufanikiwa kumwambia aje atende nikimwazibu kwa kumwambia hautakuwa raisi safari yake ikaishia ukingoni)

3:maisha bora kwa kila mtanzania( we kwa misemo hii nilitegwa ufukara huu jamani nikajikuta sijatoka kuwa fukara nikafukarika)

4:babu akataka nisome bure toka awali mpaka chuo (alipewa lakini wengi wape kwa sasa nasikia anahenya Kule ambako wengi sisi mafukara ni makazi Yetu )

Ni fikra zangu fukara, karibu umoja ni nguvu utengano ni ufukara

2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom