Ukweli ni huu hapa uelewe, wataalamu wa kupima ni wachache sana tena kwenye microscope ndo zero kabisa bora hivi vifaa vya kuweka sample vinascan na kuonesha majibu kwenye screen zinawasaidia ingawa ukikosea kuiandaa sample hupati majibu.Ndugu jamaa na marafiki kama na nyie limewakuta hebu tuambiane nini tatizo mana kila nikienda kupima maralia kwenye hizo HOSPITALI naambiwa sina maralia wakati nikijiangalia ninaumwa kweli.
Naamua kwenda maabara au hospitali binafsi, huko napatiwa tiba kisha narudi nikiwa na amani.
Jana usiku nilimpeleka mke wangu zahanati akiwa hoi na dalili zote za maralia lakini cha kushangaza naambiwa hana maralia sikutaka kusubiri nikaamua kumpeleka maabara huko akakutwa na maralia, nashukuru kwa sasa anaendelea vizuri mseto unamsaidia.
HahahaUkweli ni huu hapa uelewe,,,wataalamu wa kupima ni wachache sana tene kwenye microscope ndo zero kabisa bora bora hivi vifaa vya kuweka sample vinascan na kuonyesha majibu kwenye screen zinawasaidia ingawa ukikosea kuiandaa sample hupati majibu,,,usidhan huko private ni kweli waliona ingawa inawezekana ikawa kweli,,,siku hizi hospital nyingi wanaconfirm tatizo kutokana na dalili za mgonjwa alizozisema mdomon na sio vipimo,,,fanya utafiti rud hapo hospital ya private jifanyishe unaumwa taja dalili za malaria alafu subir majibu? Ndo mana wengi saizi ukijikoroga tu ukasema napata maumivu wakati wa kukojoa utaambiwa UTI ila hawasemi ya mdudu gani😂😂😂
Sasa mtu ameanza kupata maumivu hata wiki haijaisha hiyo aina ya mdudu inakuwa identified kivipi tena?😅😅😅😅Ukweli ni huu hapa uelewe,,,wataalamu wa kupima ni wachache sana tene kwenye microscope ndo zero kabisa bora bora hivi vifaa vya kuweka sample vinascan na kuonyesha majibu kwenye screen zinawasaidia ingawa ukikosea kuiandaa sample hupati majibu,,,usidhan huko private ni kweli waliona ingawa inawezekana ikawa kweli,,,siku hizi hospital nyingi wanaconfirm tatizo kutokana na dalili za mgonjwa alizozisema mdomon na sio vipimo,,,fanya utafiti rud hapo hospital ya private jifanyishe unaumwa taja dalili za malaria alafu subir majibu? Ndo mana wengi saizi ukijikoroga tu ukasema napata maumivu wakati wa kukojoa utaambiwa UTI ila hawasemi ya mdudu gani😂😂😂
😂😂😂 bongo bwanaaa kwaiyo mnampa mgonjwa akatestie dawa kwanza kwenye mwili? Nikajua unaongea vitu vyenye akili kwanza wewe utakuwa dokta maana ndo kauli zenu za kifyongo hizo yani mtu amekuja anaugulia eti tumia hizi dawa kwanza ndo tuone tunafanyaje huku tatizo linazidi kuwa kubwa.We unajiona mjuaji,ila ni mjinga tuu,kipimo cha kujua aina ya mdudu(culture and sensitivity) kinafanywa endapo UTI imekuwa sugu,sasa we kwa mara ya kwanza unafika unafanyiwa urinalysis ya kawaida ila ukipewa dawa hujapona ndo unafanyiwa culture,elewa taratibu acha ujuaji wenye akili wanakudharau tu.
😂😂😂 yan huwa mnasubil iwe sugu?We unajiona mjuaji,ila ni mjinga tuu,kipimo cha kujua aina ya mdudu(culture and sensitivity) kinafanywa endapo UTI imekuwa sugu,sasa we kwa mara ya kwanza unafika unafanyiwa urinalysis ya kawaida ila ukipewa dawa hujapona ndo unafanyiwa culture,elewa taratibu acha ujuaji wenye akili wanakudharau tu.
Huna unachokijua, yaani unawaza tu kwamba sensitivity inafanya tu mpaka mdudu awepo hata hatua zake zile za ukuaji kama yai inafanywa na inajulikana, anayefundisha hajui vizuri anayefundisha anakariri hivohivo mad!Sasa mtu ameanza kupata maumivu hata wiki haijaisha hiyo aina ya mdudu inakuwa identified kivipi tena?😅😅😅😅
Ni ya kwanza kuskia kwakoHuna unachokijua,,,yan unawaza tu kwamba sensitivity inafanya tu mpaka mdudu awepo hata hatua zake zile za ukuaji kama yai inafanywa na inajulikana ,,, anayefundisha hajui vizuri anayefundisha anakalil hivohivo mad!
We ni wa kuonewa huruma, hiki ulichoandika unakielewa??Huna unachokijua,,,yan unawaza tu kwamba sensitivity inafanya tu mpaka mdudu awepo hata hatua zake zile za ukuaji kama yai inafanywa na inajulikana ,,, anayefundisha hajui vizuri anayefundisha anakalil hivohivo mad!
Kiufupi we ni mjinga wa kuonewa huruma, ujuaji mwingine ni kujiaibisha, punguza ujuaji kwa vitu ambavyo huna utaalamu navyo,la sivyo unajishushia hadhi.[emoji23][emoji23][emoji23] yan huwa mnasubil iwe sugu ?
Si ndo nyie mnadanganya watu UTI ni ugonjwa?
Ndugu jamaa na marafiki kama na nyie limewakuta hebu tuambiane nini tatizo mana kila nikienda kupima maralia kwenye hizo HOSPITALI naambiwa sina maralia wakati nikijiangalia ninaumwa kweli.
Naamua kwenda maabara au hospitali binafsi, huko napatiwa tiba kisha narudi nikiwa na amani.
Jana usiku nilimpeleka mke wangu zahanati akiwa hoi na dalili zote za maralia lakini cha kushangaza naambiwa hana maralia sikutaka kusubiri nikaamua kumpeleka maabara huko akakutwa na maralia, nashukuru kwa sasa anaendelea vizuri mseto unamsaidia.
Daktari umejibu kwa hasira sanaWe unajiona mjuaji,ila ni mjinga tuu,kipimo cha kujua aina ya mdudu(culture and sensitivity) kinafanywa endapo UTI imekuwa sugu,sasa we kwa mara ya kwanza unafika unafanyiwa urinalysis ya kawaida ila ukipewa dawa hujapona ndo unafanyiwa culture,elewa taratibu acha ujuaji wenye akili wanakudharau tu.
Naunga mkono hojaTuliokuwa tunapigania Dr Gwajima akae hapo sio kwa sababu tunapigania maslahi yake ila yetu binafsi. Kuimarika kwa huduma hapo ni kwa faida ya raia sio yeye.
Wengine tumepoteza wazazi hizo hospitali za serikali wote wawili kwa nyakati mbili tofauti, kwa sababu ya medical errors na uzembe tu, ndio ugomvi wangu ulipo na Ummy Mwalimu huo rekebisha hiyo sector it too technical kwako.
Anatokea mtu anaefahamu health intervention approaches kinaga ubaga, ana ufahamu mpana mno wa health management kuanzia usimamizi wa kutoa huduma hadi inventory control. Better still yeye mwenyewe ni qualified doctor.
Mnaenda mfanyia majungu atolewe hapo mnamtaka mbutika kama Ummy Mwalimu ukilisikiliza linaongea ujinga mtupu hakuna lolote linalojua.
Trust me Dorothy Gwajima hata kwenye bima ya afya angeanza na NHIF kuanza kutaka kuona wanaziba kwanza mirija yao ya upotevu wa hela ovyo through insurance fraud kujua actual costs zao; ndio wampelekee habari za kuongeza insurance costs.
Tells you ana abc za finance, tatizo wengi walikuwa awaelewi akiamua kuwapiga audit ya papo vituo vya afya anawaumbua, akiingia maabara akikuta vipimo vina anaelewa minimum ni siku ngapi mgonjwa ameonywa results walikuwa awawezi kumuongopea ni mtaalamu mnoooo.
Shida saa zingine ni ujinga wetu, mengine tunajitakia.
Sio kila homa ni malaria na pia pima magonjwa mengine kama sukari,presha,kifua kikuu n.kNdugu jamaa na marafiki kama na nyie limewakuta hebu tuambiane nini tatizo mana kila nikienda kupima maralia kwenye hizo HOSPITALI naambiwa sina maralia wakati nikijiangalia ninaumwa kweli.
Naamua kwenda maabara au hospitali binafsi, huko napatiwa tiba kisha narudi nikiwa na amani.
Jana usiku nilimpeleka mke wangu zahanati akiwa hoi na dalili zote za maralia lakini cha kushangaza naambiwa hana maralia sikutaka kusubiri nikaamua kumpeleka maabara huko akakutwa na maralia, nashukuru kwa sasa anaendelea vizuri mseto unamsaidia.
Ndo zao,,, alafu wao wanajiona kila mtu ni mbumbumbu hawajui wao udakitari wamesomea sanasana baiology na hawawezi kumshinda mtu aliesomea baology na chemistry ngazi ya degree hasahasa mwalimu kama yupo makini na anavyosoma ajiulize tu kwanini mwalimu mmoja anawafundisha wanafunzi wanaochukua udakitar na wengine wa taaluma tofauti na udakitar ndo atajua nan yupo na maarifa mengiDaktari umejibu kwa hasira sana
@client anatoa povu nahis ni mmojawapoDaah, unavyosemea ni kweli kabisa huduma za hospitali zimedorola mno hospital zipo ila watoa huduma wanavuruga mno daaah