Ndiyo hivyo, wanasiasa wananguvu kuliko hata wanaofanya kazi. Nchi hii hadi tutakajua kuwa wanasiasa wananafasi yao, na professionals wengi wananafasi yao! tukiweza kutenganisha haya madudu tutaweza kuwaadabisha wanaoturudisha nyuma. Lakini kwa sasa, wanasiasa ni kama miungu watu.