Tetesi: Hospitali ya rufaa Mbeya yazuia maiti ya Eliezer Solomon Njole iliyopo Mochwari inayodaiwa Tsh.1,300,000/=

Hivi kuna nchi yoyote ukifa hospital ya umma na deni la matibabu linajifuta?

Bima ya afya iwe lazima kama ilivyo kwa vyombo vya moto.
 
Back
Top Bottom