spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,140
- 21,891
Nlikua natoka getini mara mama mkwe akaniona
Guess what
si umeona nmemuita mama mkwe
Guess what
si umeona nmemuita mama mkwe
Ndio wanapokea bima ya afyaSijisikii vizuri Wakuu, kesho nataka kufanya checkup.
Nipeni mwongozo wa kuingia hapo hospitali ya Mzena kufanya matibabu.
Mode of payment nimepanga kutumia kadi ya NHIF.
Ukifika wewe taja force number yako utahudumiwaSijisikii vizuri Wakuu, kesho nataka kufanya checkup.
Nipeni mwongozo wa kuingia hapo hospitali ya Mzena kufanya matibabu.
Mode of payment nimepanga kutumia kadi ya NHIF.