Tetesi: Hospitali ya Ipamba wagonjwa na wauguzi hupotea tu

Dan B Cooper1

Member
Jun 18, 2022
17
41
Hii hospitali ipo Iringa-Karibu na Shule Ya TOSAMAGANGA kata ya Kalenga imekua na matukio mengi kama hujashuhudia basi kusimuliwa na yaliowahi wakuta. Usiku Anakuja Muhudumu anakuita mtoke nje au unapigiwa simu uende umepelekee mgonjwa chakula ukitoka kwenda jikoni umekwisha.

Ukikataa kwenda ndio pona yako na kesho ukienda ukimuuliza mgonjwa wako kama alikua anahitaji msaada wowote anakujibu hapana.

Swali: Je Hili tatizo serikali inalijua au Ndio serikali yenyewe ndio inafanya au ndio Organ trafficing?

Sababu kuna tetesi za kuwepo kwa handaki ambapo watu hutekwa kwenda kuchukuliwa viungo mbali mbali kwa matumizi mbali mbali ya kimatibabu.

Kuna Mgonjwa alienda pale na Mke kujifungua, Mama Mkwe, Mama ake Na Mke wote wakapotea Kila muhudumu akiulizwa ushirikiano zero jamaa aliacha mbwa wake na gari pale nje akaondoka mbwa hali wala hanywi kalala uvunguni mwa gari Mzungu kajipendekeza kusogeza gari pembeni akafa na kila baada ya muda wahudumu wakawa wanakufa kila aliyehusika na tukio baada ya kuwamaliza jamaa alirudi kuchukua mbwa na gari lake.

Washikaji zangu walienda kumuuguza mama yao Walikimbizwa usiku speed yao ndio iliwaokoa.

Je, matukio kama haya nani anahusika au ndo biashara za Vigogo?
 
Hakuna polisi hapo jirani ?
Polisi ?

images - 2024-03-19T033154.833.jpeg
 
Back
Top Bottom