kiben10
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 615
- 792
Hospitali ya Rufaa ya Bugando Jijini Mwanza imewataka vijana wanaokwenda vyuo vikuu kusoma Masomo ya Science wasiogope kusoma namna ya Kuhifadhi Maiti katika chumba cha Maiti ( MORTUARY).
Hayo yamezungumzwa na Daktari Bingwa wa Masuala ya Kuhifadhi maiti hospital ya Bugando Dk.Kalima Jackson amesema hospital hiyo walitangaza nafasi za kazi katika chumba kuhifadhi Maiti (Mortuary) lakini hakuna kijana aliye na taaluma ya Science ambaye aliomba kazi hiyo.
#Ajira hizi vijana sio tunalalamika ari nguvu ya maisha wakati furusa tunaziogopa....