Hospitali ya Bombo (TANGA) ipo hali mbaya sana! Serikali iiangalie haraka...

Same ORG

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
321
21
Ikiwa hospital ya Bombo TANGA na nyenginezo hazina hata x-ray madaktari wasigome kwanini?

Hili ni janga la taifa wananchi tusiwalaumu madaktari kugoma ni waokozi wetu, hospitali nyingi hazina vifaa vya kutosha.
 
Serikali inapesa za kuagiza madaktari nje ya nchi na so kuninua vifaa muhimu zikiwepo hizo xrays, ct scan, MRI, nk! WTF!
 
Hili ni janga la taifa wananchi tusiwalaumu madaktari kugoma ni waokozi wetu, hospitali nyingi hazina vifaa vya kutosha.

Mie Nalaani na Si kuwalamu Tu!Wao madaktari hawajaigomea Serikali bali Wamegomea wagonjwa ambao ni watanzania wenzao!Unyama wao ni Kuangalia wamama wajawazito na watoto awakifa bila tiba!
Hawa licha ya kukosa Uzalendo wamekosa Utu na shukrani kwa waliowasomesha!
 
MKWECHE na ndiyo maana ukawa na mawazo ya kimcheche mkweche!!! Fikiri nje ya box.
 
Last edited by a moderator:
Mimi nawalaumu waliomchagua jk na sisiem yake.

Nimeipenda hapa!

Kampeni zilipita karibu kila kaya lakini raia wakawa hivyo tena.
Ila nafikiri 2015 itakuwa penyewe!

Tuombeane uzima tu! Na mwenye macho atazame yajirio!
 
Lakini cha ajabu Bombo Hospital-Tanga ni moja kati ya Hospital ambazo madaktari hawajagoma...wanapiga mzigo kama kawaida!Ni punguani pekee ndo atawalaumu madkt,lakn anapaswa kujiuliza kwanin Wamama wajawazito walale watatu ktk kitanda kimoja ktk nchi yenye Dhahabu na almasi?kwanini Pharmacy department ktk hosptal ikose madawa na yapatikane uraiani kwa mtu asie serikali?nchi pekee yenye madini aina ya Tanzanite ambayo mtoto wa Rais anamiliki hisa zaidi ya 40% (kama mtu binafsi badala ya Serikali yenye Wananchi milioni 40) inakosa CT-SCAN machine ktk hospital yake ya Rufaa...Nchi yenye mbuga iliyo kati ya maajabu saba ya Dunia inakosa gloves za kumkinga Dr wakati wa upasuaji....ukiwatazama viongoz wake,kwa magari na anasa wanazozifanya..huwez kuamini umaskini wanaoutangaza!!hapa nani muuwaji??Dr au Serikali?ukweli ni kuwa Serikali imekuwa uwaji kwa huduma zetu mbovu za afya mpaka Wananchi tumeizoea na kuona jambo la kawaida na tunaitetea!huu ni upofu unaotufanya tuwe mbali na mstari wa nchi ya ahadi..
 
Mie Nalaani na Si kuwalamu Tu!Wao madaktari hawajaigomea Serikali bali Wamegomea wagonjwa ambao ni watanzania wenzao!Unyama wao ni Kuangalia wamama wajawazito na watoto awakifa bila tiba!
Hawa licha ya kukosa Uzalendo wamekosa Utu na shukrani kwa waliowasomesha!

Jilaumu mwenyewe kwa kuchagua mafisadi 2010 wao India wewe mwananyamala utajibeba.
 
Hospitali ya Rufaa Bombo Tanga huduma zake haziridhishi, ukipeleka mgonjwa pale vipimo vyote unaambiwa ukapime nnje ya hospitali. wagonjwa wanapata shida sana, haswa kwa wale wenye kipato cha chini. mbunge wetu Omari Nundu, matatizo ya bombo hujayaona?.
 
Mie Nalaani na Si kuwalamu Tu!Wao madaktari hawajaigomea Serikali bali Wamegomea wagonjwa ambao ni watanzania wenzao!Unyama wao ni Kuangalia wamama wajawazito na watoto awakifa bila tiba!
Hawa licha ya kukosa Uzalendo wamekosa Utu na shukrani kwa waliowasomesha!

Nimeamini Tanzania kuna watu wajinga sana. Juzijuzi tu humu JF iliwekwa thread ya serikali kununua V8 MPYA 25.Lakini huyu MKWECHE sidhani kama hilo alilipinga. Unawalaumu madaktari.......? Sasa hiyo hali mbaya ya Bombo si ndiyo vitu madaktari walikuwa wanavidai viboreshwe....! Kaaazi kwelikweli
 
The only solution;

Ni kuondoa viongozi wakiristo waliojaa kuanzia ikukulu hadi wilayani ndio maendeleo watakuja Tanzania, vinginevyo imejidanganya

Wakiristo ndio wengi wenye sifa ya ufisadi na kufoji vyeti vya shule, tokea wakati wa uhuru hii mijamaa imejazana hakuna walifanyalo

Zanzibari kwa mfano; viongozi wengi ni waislam na hakuna ufisadi kama bara na hakuna vyeti vya kufoji, watatuacha bali kama muungano ukivinjika

Mfano mwingine ni sub-sahara afrika; nchi zinaongozwa na utawala kristo zimebobea kwenye umaskini, tafauti na nchi za North afrika
 
Back
Top Bottom