Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,192
- 46,238
Kudadadeki...Kwani Hii Coz yako ya IT inafanyiwa internship hapo Muhimbili au KCMC?
Msaada IT
Na hii Coz ya Mziki je?
Naomba kufahamishwa chuo cha muziki
Na hii Diploma ya CO / Pharmaceutical Tech ulimaliza muda gani mpaka ukafikia MD kuwa umeshagraduate?
Clinical medicine na diploma ya pharmacy
"Unapokuwa Muongo uwe na Kumbuknu"