moghasa
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 1,084
- 1,253
Wapendwa wanajamvi umofia kwenu!!!!!
mimi ni mgonjwa naishi nje ya Dar! napenda kujua ni hospital gani iliyopo DAR ambayo naweza pata huduma nzuri kitengo cha njia ya mkojo na uzazi (urology)!
ninatumia bima ya NHIF brown kadi! hivyo kuhusu gharama sina shaka!
mwanzo niliwaza Mhimbili lakin naogopa foleni na pia likizo yangu inaelekea kuisha nirudi kazin.
naombeni msaada wakuu!