Hospitali gani inatoa matibabu ya mtoto wa jicho?

Donkey

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
1,431
1,448
Hospital gani inatoa matibabu ya mtoto wa jicho kwa kutumia LASER Cataract Surgery ndani ya Tanzania. Msaada wenu wana jamii
 
Hospital gani inatoa matibabu ya mtoto wa jicho kwa kutumia LASER Cataract Surgery ndani ya Tanzania. Msaada wenu wana jamii
CCBRT ndio suluhisho lako.

Ni cheap pia.

Pia kuna nyingine kama Internation Eye Hospital ila utakoma bei.

For more info nicheki nikuelekeze kila kitu
+255 745 090905
 
Back
Top Bottom