Hospitali gani hapo nyumbani hii?

Hospitali gani hapo nyumbani hii?

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
418933_266319220151293_1816502403_n.jpg
 
Kwani kuna tiles? Zote zimefanana. Muhimbili, temeke, mwananyamala, ....

Nimeshawahi kuingia wodi ya Wamama pale Muhimbili naona kama yafanana na hii...

Hizo hospitali nyinginezo kama M'nyamala, Amana au Temeke sijawahi kufika kwenye wodi hizi za wamama...
 
Hii vitambi ward itakua ni Amana, hawa wagonjwa huwa wanatia imani sana kufuatana na hali zao na bado wanalala chini
 
Back
Top Bottom