Nipo hospalini hapa nje tumezuiwa kuingia,ffu wametanda kila mahali wanamlinda balozi wa papa amekuja kutembflea majeruhi mchana huu,sijui itakuwape watu ni wengi sana waliokuja kuona hao majeruhi.
nipo hospalini hapa nje tumezuiwa kuingia,ffu wametanda kila mahali wanamlinda balozi wa papa amekuja kutembelea majeruhi mchana huu,sijui itakuwape watu ni wengi sana waliokuja kuona hao majeruhi.
hao wehu hawakawii kulipua mibomu yao pasi na hapo kuwa ni hospitali
kuna una hakika gani huyo victor ni mkristo.?anaweza kuwa hana dini au mhindu,jina sio kigezo mbona humu wapo wakristo safi kama akina mohamed mtoi,abdulahim na seif al islam.kwanza na hamu ya kula imeniisha baada ya nchimbi kuhusisha wakristo{coz jina alilolitaja tena mmoja kamtaja katika waliowakamata} ndio waliorusha bomu kutoka kumuendesha mlipuaji hadi kufanywa mrushaji, wakristo tusipumbazwe na propaganda za ccm tuchukue hatua