watakuja mkuu mie na wife tunatumia bima na alitumia bima wakati wa kujifungulia hapo,wako vzuri sana huduma zao na wana care mno wateja wao (wagonjwa) mkeo anajifngua like a quenNatumani tumeunza mwaka salama , ndg zangu naomba mwenye makala yanayoielezea hosptali ya indumandal kwa lugha ya kiswahili aniwekee hpa.
Pia naomba kwa anaefahamu gharama zao za kujifungua kwa wasiotumia bima anisaidie
Hii ni hosptali mpya?Natumani tumeunza mwaka salama , ndg zangu naomba mwenye makala yanayoielezea hosptali ya indumandal kwa lugha ya kiswahili aniwekee hpa.
Pia naomba kwa anaefahamu gharama zao za kujifungua kwa wasiotumia bima anisaidie