Hospital nzuri (PRIVATE) ya kujifungulia mjini Moshi

kidadari

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
8,647
9,574
Salam wanabodi:Naomba anayejua hospital nzuri kwa kujifungulia mjini moshi-Kilimanjaro ila iwe na-:
-huduma nzuri
-iwe ya private
-inakubali bima(NHIF)
 
Nenda za serikali siku hizi madaktari wanakuhudumia vizuri na kuna kila aina ya kifaa mimi nilijitia mapana kumpeleka AGHA KHAN hizi za mikoani kumbe kuna mi mwanafunzi ya field madktari wapo huku serikali za serikali za rufaa tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda hospital ya serikalini,huko private mnatafutaga matatizo alafu yakiwashinda mnakuja kumalizia lawama serikalini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…