Makaayamawe
JF-Expert Member
- Feb 21, 2009
- 341
- 10
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Samuel Sitta (kulia),
akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na
Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk. Edward Hoseah
ofisini kwake mjini Dodoma jana.
Waungwana naomba kudadisi, nini ni nia ya matembezi ya Dr. Hosea kwa spika Sitta?Je waungwana mnafikiria Dr. Hosea alifuata nini huko bungeni wakati Richmonduli inakaribia kujadiliwa?
- Je amekuja kuomba kibali cha kuwahoji wabunge? No! Alishasema hahitaji kibali?
- Amekuja tu kumtembelea na kumjulia hali. Mmmmh! No comment?
- Amekuja kumtishia kuwa akiendelea kumwandama, na yeye Hosea atalala sambamba na spika Sitta. Kwa jinsi anavyomwangalia kwenye hiyo picha hapo juu, siweze kulikataa hili.
Ninavyowafahamu viongozi wa Tanzania walikuja kuweka mambo sawa ya kuacha kufuatafuatana. Halafu report ya richmond tutaonyeshwa video tu hakuna chochote cha maana tutakachokiona kwa jinsi wabunge wa ccm walivyokamatwa HOSEA HUKU, MWINYI NA KAMATE YAKE KULE, LOWASA KATI na wengineo wengi wanawatisha. Kwa hali ilivyo sasa hakuna Mbunge yoyote atakayetaka kufanyanyika uchaguzi sasa hivi.
Madaraka matamu bwana, POSHI MBILI KWENDA MBELE
Vita ni kwenye majukwaa na vyombo vya habari!
Lakini inside there, hope they are just enjoying their pieces of National cake!
Alijua amechemsha. Hivyo alikuja kufanya hilo la kwanzawvinginevyo angekuwa toasted.
Hosea: Sitta unataka nimwage mboaga hadharani..yale mauchafu yako yote utabaki kweli?Alijua amechemsha. Hivyo alikuja kufanya hilo la kwanzawvinginevyo angekuwa toasted.
Alijua amechemsha. Hivyo alikuja kufanya hilo la kwanzawvinginevyo angekuwa toasted.
Hosea time is up...Alijua amechemsha. Hivyo alikuja kufanya hilo la kwanzawvinginevyo angekuwa toasted.
Alijua amechemsha. Hivyo alikuja kufanya hilo la kwanzawvinginevyo angekuwa toasted.
Hosea ni mbabe mwenye maconfo, Sitta mikono chini, Hosea anajiamini, Sitta ana agenda zake, the winner ni Hosea. Nadhani no richmod report.