Hogereni mkuu hiyo language imeenda shule!!! Mkuu Mimi natumia Mac naweza mnaversion yake otherwise kwa vile nimefanya virtualization nikaweka windows na ubuntu nitadownload niitest kwenye codes za phpNi C++ Madam!
Shukrani nazipokea kwa niaba ya Crew nzima.Hogereni mkuu hiyo language imeenda shule!!! Mkuu Mimi natumia Mac naweza mnaversion yake otherwise kwa vile nimefanya virtualization nikaweka windows na ubuntu nitadownload niitest kwenye codes za php