Ni masaa Matatu kila siku. Kuna vitu viwili hukuviangalia:sasa web development ntajuifunza week mbili na nielewe kweli je ni masaa gani ya kusoma kwa siku
Kuhusu usafiri si lazima uje Kimara. Kama kuna watu kuanzia wanne mpaka kumi mahali tutatuma Instructor huko huko kwa hiyo hakuna safari tena. Mnaweza kuji organize mahali pa karibu na si lazima iwe huku (Ipo stated ktk mtandao wetu pia)Safi sana. Ningependa kujifunza kidogo PHP lakini tatizo muda (Temeke-Kimara) + bei ?? mpaka nachoka.
Ni kweli tunatamani kufanya hivyo ila itatulazimu kufanya mambo kadhaa ambayo yatashusha kiwango cha mafunzo yetu. Mfano, kwa sasa limit ya darasa ni watu Wanne mpaka kumi tu. Kwa hiyo itabidi kuongeza idadi ya wanafunzi kwa darasa moja. Lakini pia mwanafunzi hana limit ya support baada ya masaa ya Face to face kwisha. Ataendelea kupata support online na skype mpaka amalize project yakeMngeshusha bei kidogo hasa ukilinganisha hamna award inayotambulika ambayo mtu anaipata. Pia mkuzingatia uwepo wa material mengi kwenye mtandao ambayo mtu anaweza kujifunza akiwa chumbani kwake.
So you have Sunday and Monday till noon to register for C++ Language Level I class.
Also you can register any other of courses!
Training zetu ziko so flexible kama hazijagongana ambazo Instructor ni mmoja. Zikigongana inabidi mkubaliane na Instructor wenu.Bei zenu ni nzuri, nimezipenda sana na mmenivutia sana kuja kufanya training hapo kwenu... mnaanza na training ipi kati ya hizo... ingwa nipo inerested na Yii pamoja na python.
C++ Inaanza mapema wiki ijayo. Baada ya hapo tuta update itafuata kozi gani.mnaanza na training ipi kati ya hizo... ingwa nipo inerested na Yii pamoja na python.
C++ Inaanza mapema wiki ijayo. Baada ya hapo tuta update itafuata kozi gani.
Ukijiandikisha na kozi uliyo interested unajulishwa inapokaribia kuanza ili ujiandae. Gogo Vivu
Karibu sana boss. Utajulishwa nadhani J3 (mambo ya weekend)Asante Stefano Mtangoo . Nitawasiliana nanyi kwa simu, ili ikiwezekana pia nijumuike nao wa C++, tayari nime register kupitia tovuti yenu.
Its not that demanding, especially kwa Hizi Basic training (level I). They are funny and might take your good 1 hour per day out of those three hours. Kama una 4hours per day then you can make it. Less than that wait until CPA is done 🙂Ningekua sina huyu mdudu anaitwa CPA ningejiunga asee... I luv technology
C++ Language I face to face imeisha leo. Wanafunzi wanaendelea kufanya Project zao.
It was funny moment. Tarehe 2 Dec Kutakuwa na Web Development I itakuwa na mwalimu Mwingine na tarehe 9 Nitakuwa naendelea na C++ Lang II. karibu upate Ujuzi ufikirie kufanya kazi yako mwenyewe.
Kama mtu atakuwa free anaweza kutoa ushuhuda wa jinsi kozi zilivyo kama ni useful au useless!
Karibuni wote wenye maono makubwa!
Kwa sasa inabidi kusubiri wakati tunaangalia feasibility ya online Study (skype et al) kama itakuwa vema. Ni vizuri kupata idadi ya wanaopenda walio nje ya DSM ili kuweka uzito kuwa hautakuwa upotevu wa muda kufanya kitu kama hicho!Na sisi tulio huku mikoani inakuaje mkuu!!?? Au hatuna letu hapa!!!
Hosanna IDE mmeidevelope kwa kutumia nini C++ au Java?Dear all,
I'm honored to announce Our Training Classes that will be training All people Interested In software Development with different Languages. The Classes will be conducted Live for each course's face to face duration and then you will do them distant with support from our instructors through Special Support forums or even Skype if necessary.
The training are for both those who knows nothing about Programming (not about Computers though) and those who know some few things but want to know more. The Trainings are designed to make someone able to do something by himself/herself. Currently we have few classes but we will be adding others after preparations are done. The currently available courses are:
- C++ Language Level I
- C++ Language Level II
- Java Language Level I
- Java Language Level II
- Web Development I
- Web Development II
- Python Language I
- Python Language II
- C++ UI Development with wxWidgets
- Java UI Development with Swing
- Database with Java (JDBC)
- Web Development with Yii
You can check the details and costs of each training here or Discuss it in this thread or the official one here.
The start and time table of each class will be sent to individuals once the minimum number is reached (each class is made of minimum of four and maximum of ten trainees)
You are welcome,
Stefano Mtangoo,
CTO, Hosanna Higher Technologies