C6 CTO nyasiro kadoda11 na wadau wote => Software Developers Tanzania | LinkedInIko kama Nusu hivi lakini ni murua!
Ukiweka missing half inatosha kwa sasa. Na icon ya app ambayo nafikiri iwe ni huyu ndege
itafaa. Nahisi muda sio mwingi leo usiku au kesho (kinyume na matarajio yangu) nitapandisha kitu github!
Kama unaweza fasta kufanya icon ya 32x32 na 48x48 ili kuanzia itakuwa safi sana!
Hapo kwenye copyright ikisomeka
Copyright 2012-2013
Tanzania Developers Foundation
Hii Foundation ni moja kati ya Plans za HHT kuinua vipawa vya dev wa Tanzania na kuwaunganisha pamoja!
C6 , nyasiro, redSilverDog, kadoda11 na wadau wote!
dadadadadadadaaaaaaa umetisha kaka nadhani haina haja ya kutafuta splash screen nyingine.
Aisee C6 imalizie basi kanusu kalikobakia na ka icon kadogo ka huyo kasuku ili ikiwezekana kesho usiku tuwe ana kitu visible! :yo:
Tanescoo!
wamechukua umeme in midst ya critical operation!
Sources zitapatikana kesho tena Mungu akipenda :A S 39:
Finally.....
Wamerudisha Umeme na nimemalizia nilichotaka
Check Repo: https://github.com/hosannahighertech/kasuku
Maelekzo machache (to be added):
Download CodeLite Ide ambayo iko bundled na wxWidgets 29 kwa urahisi japo baadae nitaandika detailed procedures.
Open CodeLite Workspace and press Compile/Run/Debug
Note:
Kuuliza kitu tumia JF lakini Bugs (matatizo ya Programu) tumia link hii https://github.com/hosannahighertech/kasuku/issues
C6 nyasiro kadoda11 redSilverDog and all!
Enjoy!
BH,
CTO, Hosanna Higher Technologies!
@CTO , nyasiro, redSilverDog na wengineo
Makosa niliyoyaona so far............
1. button hiyo haina picha yake kwa hiyo huleta error
2. default view iwe simple bila playlist
3. iwe ina accept themes ili na mimi nijidai
4. thanks kwa kuwa featured
5. neno "welcome" kwenye title bar.........."ni lazima kuwepo???????"
6. ukiweka full screen wakati una play mp3 hakuna kurudi to normal view hata ukipress esc button
7. haisupport drag n drop files , inabidi uende file menu uchague file unalotaka ndo ikubali
8. haikubali ku "open with" mfano naright click file kisha nachagua open with kasuku player itafungua app ila haitacheza hilo file
CTO
1. Fixed, nita upload new setup soon!
2. Una maana iwe na screen tu na controls kama VLC?
3. Theme ziwe ni colors tu au ziwe na gradient?
4. Oh! You did a good job. Itapendeza kama ukitengeneza new set ya icons za control kuliko za sasa zilivyo (play pause et al 16x16 na 24x24 na 36x36. C6 inatosha au ungependa full name?
6. ESC key itakuwa implemented. Lakini kwa sasa double click inakupa same result
7. Una maana DnD katika Playlist? Itaukuwa added soon!
8. Open with itakuwa added soon pia!
C6 Thanks for the list nitazifanyia kazi.