Hormuz Itafungwa Tena

Iran asifuate masharti ya hao Amerika.
Round hii wamedhamiria kumungusha. Na watafanikiwa tuu.
So yeye kazi yake ni kuwatia hasara tukuka
Upo sahihi mkuu. Wanamlia timing Muajemi akizubaa amefutwa. But itakuwa kwa mbinde sana safari hii Wasovieti na Wachina Bila kumsahau Kim Jong wamekuwa marafiki wa kweli wa Iran wamempa backup kubwa sana otherwise The Game Was Supposed to Be over A Long Time Ago!
 

Ndio maana Amerika anatumia janja ya Nyani.
Hao Makafiri ukiyasikiliza maigizo yao yakijifanya yamezidiwa sijui yanalialia ni malaghai. Ni uongo mtupu.
 
Hizo ni propoganda hakuna nchi ilio msaidia Iran tofouti na America na Israeli wamesaidiwa na nchi nyingi sana zipo za Europe na zipo za kiarabu.

USA anajidai Mrusi alikuwa anawasaidia kuwapa infomation haha wakati wao juzi wamekiri Iran alikuwa ana watu wake ndani ya jeshi ka Israel wanampa infomation. Kubalini tu Iran ni kiboko wa America na Israel

Saud Arabia, UAE, Qatar, Baharain, Kuwait, Jordan, Ukraine, Morocco, na zingine zitajulikana tu Zilikuwa zinamsaidia America UAE mpaa ndege zake za drones zimeangushwa huko Iran za kichina
 
Serekali ya Lebanon majinga kweli eti Iran hana haki ya ku deal na Israel kuhusu Lebanon, na Trump anadai Lebanon haipo kwenye ceasefire walio kubaliana. Pakistan inasema ipo kwenye makubaliano nadhani Shetanyahu hataki kumuwachia Trump akimbie

Sa Iran anataka kujitoa kwenye makubaliano kwa hio vita inarudi pale pale
 
Waziri mkuu ni PUPPET shida iko hapo.
 
Ishu sio Lebanon,nazungumzia kama ulichokisema hapo kuwa Israel ameishambulia Iran basi ameharibu kila kitu.
Israel hakushambulia Iran baada ya ceasefire hata Shetanyahu alikubali



Tatizo kwenye ceasefire Iran aliwambia wasiguse Hezbullah, Al Houthi au Hezbullah ya Iraq.

Trump na Shetanyahu wanasema Lebanon haipo kwenye ceasefire agreement na Iran na Pakistan wanadai ipo.

Yule Puppet wao kule Lebanon anasema Iran asituingilie kwa hio wanataka Israel Obomoe Lebanon hahaha kweli viongozi wa kiarabu ni wengi mapuppet wanafurahi kuona nchi zao zinapigwa
 
Kama Israel amefanya hivi basi ategemee kisasi kizito.
Na Iran kamwe hatokubali tena kusitisha vita.
Na USA sidhani kama itaendelea kuisaidia Israel.
Mkuu tushangilie Iran imeshinda hii vita. Kata hilo uunoo maamae.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…