Horizon consultancy mnawafahamu?

kaka jaribu hata kugoogle ina maana icngekuwepo jf ungefanyanje...inakoelekea watu watakua wavivu sana wa kufikiri kwa ajili ya JF.
 
hawa jamaa wanafanya kazi za consultancy,me juzi katika kupita pita kwenye mtandao nikaona tangazo lao la kazi wanaitaji regional,district coordinator na marketing manager nikatupia application jamaa wakanipigia simu wakaniuliza utaweza kufanya kazi nikawaambia ndiyo,basi kesho yake wakanitumia mkataba wa kazi pamoja na sample ya plan nioyeshe naplan nini cha kufanya baada ya hapo nisaini ule mkataba nitume pamoja na ile plan nitakayo ifanya,kaka kwenye malipo sasa wanakupa commission.Kifupi unatakiwa kuwatafutia wateja ambao watawapatia ushauri wa kibiashara na nk ukipata unagonga commission
 
niliomba kazi kwao wakanipigia simu kuwa nimepata kazi ila km siwaelewielwi vileeeeeeee
 
niliomba kazi kwao wakanipigia simu kuwa nimepata kazi ila km siwaelewielwi vileeeeeeee

kiukweli unaweza kutowaelewa maana wanarahisisha mambo, kutuma tu application wanakupa kazi bila hata kuonana na kupeana mikakati zaidi tu yakukuambia huwatumie hiyo plan
 
Cheap is always expenisive, unaomba kazi na kupata hapo hapo.! Wapi ulikuta kitu kama hiyo aisee? Chalie yangu ni kwamba wewe ndo unapigika halafu ule mkwanja utakaoiiingizia kampuni wewe ndo upate 10 or 20%. Ni kazi za kishenzi she.zi tu ndo unaweza pata kiuraisi namna hii.
 
iv kwel mbona wanasumbua vichwa vya watu?wanatakiwa kuwa specific wanadeal na nn exactly na sio wafanyavyo kwenye hz site za kuheshimika.wajinga sana.......:A S angry:
 
hawa jamaa wanafanya kazi za consultancy,me juzi katika kupita pita kwenye mtandao nikaona tangazo lao la kazi wanaitaji regional,district coordinator na marketing manager nikatupia application jamaa wakanipigia simu wakaniuliza utaweza kufanya kazi nikawaambia ndiyo,basi kesho yake wakanitumia mkataba wa kazi pamoja na sample ya plan nioyeshe naplan nini cha kufanya baada ya hapo nisaini ule mkataba nitume pamoja na ile plan nitakayo ifanya,kaka kwenye malipo sasa wanakupa commission.Kifupi unatakiwa kuwatafutia wateja ambao watawapatia ushauri wa kibiashara na nk ukipata unagonga commission
Mkuu kazi za commission mimi nimefanya sio nzuri , hakuna tofauti na kuuza beseni kitaa .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom