Horace Kolimba hafanyiwagi kumbukumbu?

hivi kolimba, kambona, na sokoine walikua wakatoliki?.......


kama sio, nani kati yao alikua mkatoliki?
 
Mzee ukuje Mzee ukuje umalizie
 
Mimi namkumbuka kwa kauli yake kuwa CHAMA HAKINA DIRA WALA MWELEKEO ambayo kwa sasa ni dhahiri kuliko wakati mwingine

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nne, mapambano yakNyerere) ya muda mrefu dhidi ya sera za Shirika la Fedha duniani (IMF), kwa wakati huo Mwalimu akikerwa mno na masharti ya shirika hilo kwa nchi masikini akifikia hatua kutamka IMF si Wizara ya Fedha ya Dunia.
Na hapa ndipo tatizo kubwa lilipoanzia kati ya Kolimba na Mwalimu. Na ukiangalia sasa, miaka 30 baadae, utaona Mwalimu alikuwa sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…