Horace Kolimba hafanyiwagi kumbukumbu?

Waue na wamkumbuke? wapi ulishawahi kuona hivyo?
 
Kama Mkapa asingweka siku ya Nyerere Day kwenye Public Holiday nafikiri tusingekumbuka hata ni lini alitutoka .................... maana hawa jamaa hwataki hata kusikia ni Baba wa Taifa halafu iwe Kolimba!!??
 
Hii ndio nyumba ya Hayati Horace Kolimba aliyoiacha Kijijini kwake huko Manda kwa taarifa ambazo nilizipata kwa sasa inakaliwa na Wanafunzi ambao wanasoma Shule ya Sekondari Manda


sura halisi ya wazalendo.
weka na picha ya mwenyekiti wa CCM kata ya Ubungo ulinganishe na hii ya aliywahi kuwa katibu mkuu.
 
CCM kama wakimfanyia kumbu kumbu basi watamuita yeye alikuwa mchochezi, kwani kwa hawa wauaji CCM msema kweli anapigwa chapa ya uchochezi.
 
Nafikiri wahusika ni 'wasikivu' na watafanya kila wawezalo kufanya 'damage control' ijapokuwa haikuwa katika vipaumbele vyao..
 
Hivi watu wengine mmejichoka au mmechoka kuishi? Nadhani maisha yanawasugua kiasi kwamba mnatamani kufa. Poleni. :deadhorse:
 
sura halisi ya wazalendo.
weka na picha ya mwenyekiti wa CCM kata ya Ubungo ulinganishe na hii ya aliywahi kuwa katibu mkuu.

Mkuu zumbemkuu
Hii nyumba ya kufikia kama HK aliijenga miaka ile(1970's, 80's ama early 90's) kule kijijini kabisa manda-ludewa basi ni kali aisee sema tu kwa mwonekano huu wa sasa sababu kubwa itakuwa ni ukosefu wa matunzo.
 
Last edited by a moderator:
Mimi namkumbuka kwa kauli yake kuwa CHAMA HAKINA DIRA WALA MWELEKEO ambayo kwa sasa ni dhahiri kuliko wakati mwingine
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…