Kitia
JF-Expert Member
- Dec 2, 2006
- 418
- 74
Mkuu nimebarikiwa sana pia.Bloody marvelous!!
Mzee nimeipenda sana! It such a great editing and art work! Huyu Jamaa aliyekusanya hizi clips anitwa nani? Na alikuwa anafanya kampen ya nini? maana naona wansema song for change, Change zipi walikuwa wakiadvocate kwenye hizi nyimbo? Mkuu kazi nzuri sana. I hope some1 else somewhere will enjoy 2