K komasalonde JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 2,743 Reaction score 3,516 Sep 3, 2025 #81 Mtoto wa Shule said: Lissu ana mafanikio gani kwa mfano? Click to expand... Wasio kuwa na lolote ndiyo hudharauliwa ?? Nilitaka kujua, sababu za chuki kubwa uliyo nayo kwake. Mpenda haki huchukia uovu na uonevu. Kama huna sababu basi unalipwa how much ???
Mtoto wa Shule said: Lissu ana mafanikio gani kwa mfano? Click to expand... Wasio kuwa na lolote ndiyo hudharauliwa ?? Nilitaka kujua, sababu za chuki kubwa uliyo nayo kwake. Mpenda haki huchukia uovu na uonevu. Kama huna sababu basi unalipwa how much ???
M Mtoto wa Shule JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 19,641 Reaction score 14,248 Sep 3, 2025 #82 komasalonde said: Wasio kuwa na lolote ndiyo hudharauliwa ?? Nilitaka kujua, sababu za chuki kubwa uliyo nayo kwake. Mpenda haki huchukia uovu na uonevu. Kama huna sababu basi unalipwa how much ??? Click to expand... Wewe ndio umeileta hiyo hoja ya mafanikio ndio nikakuuliza, kwani ana mafanikio gani?
komasalonde said: Wasio kuwa na lolote ndiyo hudharauliwa ?? Nilitaka kujua, sababu za chuki kubwa uliyo nayo kwake. Mpenda haki huchukia uovu na uonevu. Kama huna sababu basi unalipwa how much ??? Click to expand... Wewe ndio umeileta hiyo hoja ya mafanikio ndio nikakuuliza, kwani ana mafanikio gani?