Prayers kama zingekuwa zinasaidia zingewasaidia watu wa Gaza kwanza. Au mnadhani Mungu yupo Tanzania tu?
Mwanaye wa pekee alisema bayana kuwa ya Mungu yatatuliwe kiroho lkn ya kiserikali yatatuliwe kiserikali (ya Mungu mpe Mungu lkn ya Kaisari mpe Kaisari).