Wpendwa mie ni mshabiki sana wa hope channel. Natumia dish la kawaida. Sasa nina mpango wa kutumia dstv or any other tv providers inayokamata. Satr times wanyo ila huwa ikatika katika sana siyo stable.
Au nawezatumia dstv na kuipata. Please wakuu wa digitali naomba msaada wenu hapa
mbarikiwesana