hooodi

hooodi

Docteur

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
239
Reaction score
233
Natoa zawadi kwa wanaJF wote kwa kunipokea!


Hii ni namba ya vocha y shiling el-...........mmmh csemi. Ingiza namba hzi ujaribu bahati yko ctaji ni mtandao gn.




*104*34666425436.......#












Na za mwisho hapo malizia mwenyewe mi nmezisahau. Acha SASA UONE MZIKI WAKE!!
 
Ubarikiwe Thana bana! Umebahatika au Umebuma? Tehe...
 
Ndio mana huna bahati, Nani apakuliwe..... HILOOOO Limekosa vocha.
Athate sana.
 
kisa cha kufanya nifungiwe kuingiza vocha kwa siku moja nini?
 
nimepata msimbazi hiyo ya Vodacom!kazi kwake atakayeinunua dukani!

namba unayopiga kwa sasa haipatikani, Tafadhari jaribu tena baadae....!
Brazzaa asnte kw kujaribu.
 
Back
Top Bottom