britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,285
- 49,221
Hahaha😀😀😀 Jenester Mhagama ana ka sauti fulani kakutetea serikali.eti Mheshimiwa spika kuhusu Utaratibu hehe
Wenzako bungelao liko waz kwa kila kitu mkuu sio bong land viongoz wamejaa na uoga mwing mpaka wanakeraNi mwanamama Jenester muhagama ambaye hunyoosha mkono na kusema "Mheshimiwa spika kuhusu Utaratibu"
Nkagundua kumbe siyo Tanzania tu, hata mabunge mengine wana Jenester Muhagama wao wa Utaratibu(oder)
Bunge la afrika kusini lina mwanamama honourable Lindiwe kila muda point of oder au kwa kiswahili kuhusu Utaratibu
Pitia video zake fupi fupi uone
Hapa anaonekana dak 1:08
Sekunde ya 34
Ni mjaneJenista ana mume?
yule jamaa wa Saddam alikuwa kiboko kwa propagandaMadam mnadhim yupo vizuri sana confidence ,msimamo.Natumai hata nyumbani kwake Tupo sawa.Ananikumbusha msemaji wa Sadam Hussein msimamo.
HahahaJenista ni Polepole wa serikali... kisebengo debe kama zote.
hahaa haaWote hao watakuwa na asili ya uchawi
mume wake itakuwa amekula hasara" mwanamke ana gubu sana yuleJenista ana mume?
Yule mzuri kupiga na kukimbiamume wake itakuwa amekula hasara" mwanamke ana gubu sana yule