𝗛𝗒𝗑𝗒π—₯ π—œπ— π—˜π—Ÿπ—˜π—§π—” π—§π—”π—•π—Ÿπ—˜π—§ π—žπ—”π—Ÿπ—œ π—žπ—ͺ𝗔 π—”π—π—œπ—Ÿπ—œ 𝗬𝗔 π—šπ—”π— π—œπ—‘π—š

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,368
Reaction score
2,802


Kama wewe mpenzi wa Games basi hii Tablet ni balaa πŸ§‘β€πŸ’» HONOR imekuja na mashine ya gaming inayoweza kuwafanya gamers wengi kutamani kuimiliki! πŸš€

Kwenye HONOR WIN TABLET kilichopo ndani yake:



πŸ’₯ Snapdragon 8 Elite Gen 5 β€” nguvu kubwa kwa gaming na multitasking.
❄️ Feni ya ndani ya 15,000 RPM Turbo β€” kusaidia kudhibiti joto wakati wa kucheza wa gaming nzito.
πŸ”‹ Betri la 10,000mAh β€” kwa matumizi marefu zaidi na Chaji ya haraka ya 66W nayo ipo!.

⚑ OLED yenye refresh rate ya hadi 240Hz β€” mwonekano laini katika michezo inayoiunga mkono.
πŸ’° Bei ya kuanzia nchini China: Β₯4,499 kwa toleo la 12GB RAM + 256GB storage.

πŸ”₯ Hii si tablet ya kawaida, ni kifaa kilicholenga gamers wanaotaka nguvu, kasi na cooling system
ya ndani!
 

Attachments

  • 2_20261021_191745_0001.png
    2 MB · Views: 3
Una miaka mingapi unacheza gamii za watoto? una jinsia gani unacheza gaming za kike? mwanaume badala ya kutafuta FEDHA unapambana na kucheza na cartoon au robbot? aaha umama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…