Nimetumiwa msg ktk simu yangu inasema, "Tetesi kutoka kikao kati ya bodi ya mishahara ya serikali na wakurugenzi wa halmashauri zote nchini; madaraja ya walimu yamerekebishwa, graduate ataanza na TGTS E kama laki 850,000/= na wataAdjust viseversa kama ulikua C utahamia D automatically na wa D watahamia E pia daraja H linasogezwa hadi J kama kada nyingine za utumishi. Ongereni sana". Mwenye kujua ukweli pls tujuze.

Hebu subiri kidogo!! Kwani sasa hivi mwalimu wa shshada analipwa tsh ngapi?Hiyo nyongeza ya kufikia tsh 850,000/= itakuwa ni kiasi gani? Nikipata majibu naweza kupata picha ya ukweli wa tetesi hii!!
Hebu subiri kidogo!! Kwani sasa hivi mwalimu wa shshada analipwa tsh ngapi?Hiyo nyongeza ya kufikia tsh 850,000/= itakuwa ni kiasi gani? Nikipata majibu naweza kupata picha ya ukweli wa tetesi hii!!
Kiongozi wa chama cha waalimu ndugu Gratian Mkoba amesema hawatakubaliana na ongezeko la mshahara huo kwani seruikali haikuwashirikisha katika mchakato wa ongezeko la mshahara (ambao hakuutaja ni kiasi gani). Mkoba amesema licha ya mahakama ya kazi kuiamuru serikali kukaa meza moja na waalimu; Serikali imekaidi na kukaa bila kuwashirikisha waalimu na kupanga mishahara. "Serikali wameleta ubabe, sasa watatapambana na wababe wenzao" alisema Mkoba alipokuwa akihojiwa na Redio One leo asubuhi.
Laki 532,000
Kwahiyo ongezeko la tsh laki 318,000/=Tsh? Mmh!Nitahitaji maelezo zaidi kuamini hiyo tetesi!
Mkuu nami siamini sana juu ya hii tetesi ila naomba kutoa ufafanuzi kidogo. Kwa sasa ngazi ya TGTS D1 ni 532000 na TGTS E1 ni 720,000 kabla ya makato yoyote, lakini kwenye bajeti mpya mishahahara yote itapanda, kwa hiyo labda mleta mada anamaanisha kuwa TGTS E1 itapapanda toka 720,000 za sasa mpaka hiyo 850,000. Kwa maelezo yake ni kwamba serikali itawapandisha daraja moja moja kila mwalimu sambamba na hongezeko la kawaida yaani wale wanaostahilikuwa daraja la C sasa wanapelekwa D na kuendelea hivyo mpaka mwisho, kama wakiamua wanaweza na sio ajabu kwa serikali kupandisha mishahara ya kada moja na kuacha zingine, walishafanya hivyo kwa kada za afya na sheria. Kituko kikubwa kipo wizara za Kilimo na Mifugo, watu waliosoma chuo kimoja kozi moja na wameajiriwa siku moja na wizara moja ila idara tofauti wanatofautiana mishahara kwa zaidi ya mara tatu. Kwa mfano ngazi ya TGS D1 kwa idara za ugani na mafunzo ni 520,000 wakati wa idara ya utafiti wanapewa 1,400,000 wakati wamesoma kozi moja na kituo chao cha kazi ni kimoja. Kwa serikali hii hakuna cha kushangaa.
Ooh!Kweli sikuwa nimeelewa vizuri, akhsante kwa ufafanuzi Mkuu!!
Kwa kusheherekea hilo mmeruhusiwa tena na kuwatandika viboko madenti wenu.Nimetumiwa msg ktk simu yangu inasema, "Tetesi kutoka kikao kati ya bodi ya mishahara ya serikali na wakurugenzi wa halmashauri zote nchini; madaraja ya walimu yamerekebishwa, graduate ataanza na TGTS E kama laki 850,000/= na wataAdjust viseversa kama ulikua C utahamia D automatically na wa D watahamia E pia daraja H linasogezwa hadi J kama kada nyingine za utumishi. Ongereni sana". Mwenye kujua ukweli pls tujuze.