Mchagapori
Member
- Sep 6, 2012
- 49
- 11
Nimetumiwa msg ktk simu yangu inasema, "Tetesi kutoka kikao kati ya bodi ya mishahara ya serikali na wakurugenzi wa halmashauri zote nchini; madaraja ya walimu yamerekebishwa, graduate ataanza na TGTS E kama laki 850,000/= na wataAdjust viseversa kama ulikua C utahamia D automatically na wa D watahamia E pia daraja H linasogezwa hadi J kama kada nyingine za utumishi. Ongereni sana". Mwenye kujua ukweli pls tujuze.
Ngoja nkitafute cheti changu nianze kushika chaki naona wito unaanza kulipa.