GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 57,184
- 110,657
Zeruzeru kachukia sanaSimba tumezoea haya mambo ndo maana maisha yanaendelea, ingekuwa ni utopolo wangejisaidia mpaka stand kushangilia ushindi kwenye mechi za kimataifa.
Ukipitia maneno ya wana yanga aka utopolo baada ya Simba kupeperusha vizuri bendera ya Tz utafikia hitimixho kuwa Haji Manara alikuwa sahihi, ndiyo maana hadi leo hajaweza kuyakanusha maneno yake. Msikilize tena hapa!Ningeshangaa sana huu Uzi mwanzo hadi mwisho uishe bila kuwazungumzia Waume zenu..
Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
Nasikia Yeye na Mwenzake Bumbuli walikuwa wameshajiandaa Kutunanga ( Kutusema ) vibaya huko Facebook na Instagram wakiamini kabisa kuwa Jana Simba SC baada ya kuondokewa na Wachezaji wake Mahiri akina Chama na Miquissone basi ama tungetoka Sare au Tungefungwa ila hali imekuwa ni tofauti.Zeruzeru kachukia sana
Kwani na Wewe style yako ya Kumkaza Mkeo ni ile ile tokea Umemtongoza na Kumchumbua na kwamba hadi leo hii unautafuta Uzee haijabadilika?Mkuu umeacha ule uandishi wako uliotukuka kabisa ule..
Kwahiyo baada ya Yeye pia sasa Kuhamia huko Yanga SC alikosema hakuna Watu wenye Akili si ina maana kuwa hata Yeye hamnazo ( hana Akili ) au?Ukipitia maneno ya wana yanga aka utopolo baada ya Simba kupeperusha vizuri bendera ya Tz utafikia hitimixho kuwa Haji Manara alikuwa sahihi, ndiyo maana hadi leo hajaweza kuyakanusha maneno yake. Msikilize tena hapa!
View attachment 1978036
Kacheze unakochezagaMbona unaandika kinyongee mkuu, unajua kabisa kiwango cha timu yako msimu huu ni Kama mgonjwa anaekaribia kukata roho, kakutana na mgonjwa mwenzako ambae yeye alikuwa anachungulia kaburi, ndo maana ata kocha wa jwaneng kakiri kuwa amefungwa na timu dhaifu alivyokuwa anaifikilia simba ni tofauti na aliyocheza nayo ndani ya uwanja, uyo ni kocha professional anaeongea kitaalamu na sio kishabiki, sababu Kama mmeenyeshwa na kitimu cha namna hii washambuliaji wake awajui ata kupiga mpira golini je ukikutana na wanaume itakuwaje,
Sasa mimi sina mke, labda wenye wake tuwaulize kama staili za kuwakaza wake zao bado zilezile au zimebadilika!Kwani na Wewe style yako ya Kumkaza Mkeo ni ile ile tokea Umemtongoza na Kumchumbua na kwamba hadi leo hii unautafuta Uzee haijabadilika?