Hongereni mipango miji Dar, Mnazi mmoja inang'ara!

Dsm ni uchafu mtupu, labda kama unalinganisha na mikoa mingine ya Tanzania lkin ukiweka vitu kama Abuja Nairobi kigali unaweza ukaondoka kimya kimya mkuu.

Mh... Mswahili bhana! Hivi hayo maeneo umefika au umesimuliwa?...
 
Watu wameonyeshwa picha ya Mnazi mmoja inapendeza, washahama topic, hoo ujawahi kufika Kigari hoo sijui Abuja. Paris na New York kwenyewe kuchafu na majiji makubwa Duniani.
 
Dsm ni uchafu mtupu, labda kama unalinganisha na mikoa mingine ya Tanzania lkin ukiweka vitu kama Abuja Nairobi kigali unaweza ukaondoka kimya kimya mkuu.

Hata hiyo miji uliyoitaja kuna maeneo machafu mengi tu. Kama hiyo Nairobi kuna maeneo hata Tandale kwa tumbo panasubiri.
 
Dsm ni uchafu mtupu, labda kama unalinganisha na mikoa mingine ya Tanzania lkin ukiweka vitu kama Abuja Nairobi kigali unaweza ukaondoka kimya kimya mkuu.

Mkuu ukiongelea usafi kwenye majiji, Paris yenyewe chafu mpaka utashangaa, kila jiji ni tofauti na jingine kabisa. Huwezi kufananisha moja na jingine.
 
Tatizo ss wabongo tumezoea kusifiana sana unakuta hakuna la maana lililofanyika watu wanasifia akija mtu akachallenge anaonekana anajikweza,me nadhani hii inasababishwa na kuruhusu watu wenye uwezo mdogo kiakili kuwa sehemu muhimu as a result unakuta kuna panya wengine wasio na exposure yoyote wanadandia mambo.
 
Mh... Mswahili bhana! Hivi hayo maeneo umefika au umesimuliwa?...

Tulia ww panya buku shule huna,exposure huna, elimu huna na zaid ya yote hela huna unaleta ujuaji wa vijiwe vya kahawa,unadhan kujua mahala mpaka ufike documentary zoote hizo,ww unadhn nimehadithiwa nn hiyo mij ambayo ni ya africa,unaweza hata kujua saiv mtu yuko wapi? Tz bado sana.
 
Acha ushamba, unaelezea kuhusu documentary kwa mtu aliyekaa huko?
Hujui documentary inachagua maeneo ya kuonyesha na si yote? Eti
unafananisha Dar na Kigali, duh!! Yaani ili mradi useme tu na wewe
uonekane unajua kusema, siyo?...
 
Back
Top Bottom