TBC Ipo mubashara kama kawaida media unitedWakuu nipo nafuatilia warusha matangazo ya moja kwa moja kutoka kwenye mazishi ya Dr Mengi na kushuhudia muungano wa media kwenye urushaji wa matangazo jambo ambalo ni la kupongeza sana ila sina uhakika kama wenzetu TBC wapo kwenye huo umoja.