Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
Nikiwa kama mshabiki wa liverpool FC natangaza rasmi kukubali kuwa man city ni mabingwa wapya wa ligi msimu huu 2013-2014
Napenda kutoa pongezi kwao na pia kuwapongeza sana liver na benchi la ufundi ki ukweli wamepambana ila kwenye ushindani lazima mshindi apatikane
Wapo wapi man u na Chelsea? kwenye soka ni kawaida kabisa tukutane msimu ujao na UEFA
Big up liverpool asiyekubali kushindwa sio mshindani.
Nimemaliza