rusesa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2013
- 538
- 233
Natoa shukrani zangu za dhati kwa kampuni ya starsat kwa kuturushia michuano ya EURO 2016 Kupitia channel no.728
Hamkuishia hapo bado mmeturushia michuano ya COPPA AMERICA 2016 kupitia channel no 244 & 245 Hii ni hatua nzuri kabsa ya kujijengea heshima na kutanua biashara zenu kwa ufanisi.
Endeleeni kupigana mpaka mpate haki ya za kurusha hata michuano mikubwa kama vile EPL. Siku mkipata haki hizo za kurusha epl ndo itakuwa mwanzo wa kuangushwa kwa mnonyaji DSTV.
NUMBER YA DECODER YANGU YA STARTIMES NI 01819093263
Hongereni sanaa.