Timu za tanzania na gundu la penati

choza choza

JF-Expert Member
Jan 17, 2019
1,651
2,990
Nadhani tumeona yaliyowakuta Azam jana, ila najiuliza ni kwanini timu za Tanzania zikienda matuta na timu za nje michuano ya kimataifa ni lazima sisi tupigwe?

Mara ya mwisho kushinda matuta sijui ni lini ila kwa vipigo
2012- simba vs Al ahly ya sudan

2014- Yanga vs Al Ahly ya Misri

2021- Simba vs kaizer chiefs

2023- simba vs wydad

2023- Azam

Ni kwamba hatuko serious ama ni nini?
 
Back
Top Bottom