Hongereni akina Mama na Mabinti wa Kiislam

Hongereni akina Mama na Mabinti wa Kiislam

Wakuu kwema,

Naomba nichukue nafasi hii kuwapongeza wakina mama na wanawake wote wa kiislam kwa malezi Bora kabisa ya watoto wenu...
Huu utafiti wako ni 🚮 na hizo pongezi zako ni za kinafiki. Wenye akili watakupuuza. Na wapuuzi kama wewe mwenyewe, ndiyo watakuunga mkono.
 
Huu utafiti wako ni [emoji706] na hizo pongezi zako ni za kinafiki. Wenye akili watakupuuza. Na wapuuzi kama wewe, watakuunga mkono.
Mimi nimesema kitu ninachokiona na kukijua..suala la kuniunga mkono au kutokuniunga nafikiri sio biashara yangu
 
Mimi nimesema kitu ninachokiona na kukijua..suala la kuniunga mkono au kutokuniunga nafikiri sio biashara yangu
Hakuna chochote cha maana unachokiona kwenye huo utafiti wako zaidi ya ujinga tu.
 
Wakuu kwema,

Naomba nichukue nafasi hii kuwapongeza wakina mama na wanawake wote wa kiislam kwa malezi Bora kabisa ya watoto wenu...
Hapo kuna waislam wanao shika din kweli na wakristo wanao shika din lazma watoto wao wawe na adabu kulinganisha na hawa wengne
 
mimi huwa nauliza dini kwa lengo kujua ni watoto wapi nitawapa ruhusa siku ya ijuma kuhudhuria masjid..so ni kwa nia njema kabisa mkuu
Nonsense, mtoto wa miaka 5 anakwenda masjid gani? Kituo chako unatumia muongozo UPI kukiendesha? Una meet requirements?
 
Back
Top Bottom