Hongera Zitto

Wan jf , hii zitto alijuaje kuwa rais hakuwa amepitisha ongezeko la posho za wabunge!

wadau vipi na lile sakata aliloibua kuwa baraza la mawaziri lilihongwa?liliishia wapi?na vipi kuhusu tuhuma alizoziibua kuhusu CHC?mbona kimya...jamaa kweli habatishii....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…