Malata Junior
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 3,108
- 2,553
Moshi Mjini mgombea wa CHADEMA alimzidi WA CCM kwa kura 30,000 lakini matokeo yalichukua siku mbili kutangazwa tena mbele ya mitutu ya bunduki na magari ya kuwasha.Pia tambua amewazid wagombea wengine zaidi ya kura elfu kumi na nne.
Matokeo yake hayakuwa na utata mana hayachakachuliki.