Kutokana na gazeti la leo "Daily News" 31/10/2019 kuonyesha kwamba hawa "Wazalendo Industries Ltd" Arusha wana mpango kuanza kutengeneza pikipiki kutokana na kwamba sasa hivi wanatengeneza vifaa vya pikipiki, naona kweli watasaidia vijana wengi kupata ajira na kujikwamua katika maisha magumu.
Nilikua najiuliza, hivi Tanzania kwa mwaka tunaagiza pikipiki ngapi? Kwa sasa pikipiki zinatumika sehemu nyingi sana karibu nchi nzima kwahiyo soko lipo labda watashindwa wenyewe kama hazitakua na ubora na uimara.
Vichochoro vingi Bodaboda ndo mpango mzima kwamba zinatumika sana. Hawa jama wamekuja na wazo zuri sana.
Big up !