Hongera Watanzania kwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura

kituo cha segerea nimefika saa kumi na nusu.. ..nimekuta vijana wa bodaboda kama 160 na vijana wengine wanasubiri vituo vifunguliwe ili wapige kura.

Watu wazima walikuwa wachache na walikuwa na Peni zao binafsi
 
KWA NGUVU MOJA WATANYOOKA TU. Tuwaache na matusi yao waliyofundishwa na kina Ben na Class 7 Bulem.
 
Katoka vituo vingi nilivyotembelea leo kuanzia saa 10 usiku kwenye jimbo langu vijana wengi wamejitokeza.

Hii ni dalili njema kwa UKAWA kwa vile
inaungwa mkono na vijana walio wengi ukizingatia 57% ya waliojiandikisha ni vijana.
Kura siri ya mtu
 
Katoka vituo vingi nilivyotembelea leo kuanzia saa 10 usiku kwenye jimbo langu vijana wengi wamejitokeza.

Hii ni dalili njema kwa UKAWA kwa vile inaungwa mkono na vijana walio wengi ukizingatia 57% ya waliojiandikisha ni vijana.

Nani kakwambia ni vijana tu?

Wazee kama Kingunge na Sumaye unawaweka wapi?

Ahadi ya Lowassa ya kuwapa posho wazee itakayowawezesha kujikimu na maisha yao kwenye huduma za msingi unaiweka wapi?

Kama Wazee hawatampigia kura Lowassa kwa ahadi hii ya aina yake ambayo haijawahi kutokea kwenye bara la Africa basi nchi hii itakuwa ni nchi ya misukule au CCM wameiba kura kama kawaida yao.
 
hapa nilipo tuko nusu kwa nusu watu wazima kwa vijana afu wanawake ndio weng tena percentage kubwai ni wasukuma, naona haina hata aja ya kulinda kula cuz unaweza kujikuta uko peke ako
 
Back
Top Bottom