Lutsala
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 547
- 223
Inatia faraja jitihada zilizofanyika kuwaokoa wenzetu waliokuwa wamefukiwa mgodini,Nimeona zile mashine (vijiko)zilivyokuwa zimezungushwa eneo lile kufanya kaz,Zile ni jitihada ingawa ni jukumu la serikali kwa watu wake,[HASHTAG]#tunataka[/HASHTAG] hivyo.